Connect with us

Audio Music: Kachi Grey – I Worship You

Muziki

Audio Music: Kachi Grey – I Worship You

Kutoka nchini nigeria kwa utukufu wa Mungu nimekueletea wimbo uitwao I Worship You kutoka kwa mwimbaji mahiri wa nyimbo za Injili hasa za kuabudu anayefahamika kwa jina la Kachi Grey, wimbo ukiwa umefanyika ndani ya studio za Lyfe Empire Music chini ya mikono ya prodyuza Donadah.

“I Worship You -” Ninakuabudu ” ni wimbo nilioutunga na kuuimba kupitia msukumo wa Roho Mtakatifu ambaye amefanyika baraka kubwa katika maisha ya huduma yangu binafsi na Huu ni wimbo wa ibada kwa Mungu unaotukumbusha jinsi Mungu wetu alivyo Mkuu.

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kusikiliza na kupakua wimbo huu ambao ni hakika utakubariki sana.

 

Download Audio

Social Media Connect:
Instagaram: @iamkachigrey
Twitter: @iamkachigrey

Like facebook page >> GOSPOMEDIA  Follow instagram page >> @gospomedia

NAWAPENDA - ZABRON SINGERS

Muziki

VIDEO | NAWAPENDA – ZABRON SINGERS

By October 11, 2021

TRENDING

To Top