Audio

Audio: K-Leb & Mwansa-God Is Good

Kutoka huduma ya muziki wa Injili nchini Zambia kwa mara ya kwanza tunamtambulisha kwako mwimbaji  anayefahamika kwa jina la K-Leb akiwa ameachia wimbo wake wa kwanza kwa mwaka 2018 uitwao God is Good akiwa amemshirikisha mwimbaji anayefahamika kwa jina la Mwansa, Muziki huu umetayaarishwa na kurekodiwa chini ya mikono ya prodyuza Tundo pamoja na Yung Boss.

God is Good ni wimbo wa Ibada unaomwinua Mungu katika viwango vya juu sana kwa sifa na utukufu alionao juu ya vitu vyote vinavyoonekana na visivyoonekana, mamlaka yake ni yenye nguvu sana na sisi tukiwa kama watoto wake hii ni nafasi pekee tuliyopewa ya kulitukuza jina lake kuu, #GodisGood.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu mzuri utakaokusindikiza vyema ukiwa katika utulivu wa Ibada, Ameen.

 

Download Audio

Like us on facebook >> Gospo Media Follow us on instagram >> @gospomedia

Advertisements
Previous post

Audio: Mr.Johnson-Huwezi

Next post

Audio: SuperRhymer Feat. James Sakala-Uzamuziba Yesu