Connect with us

Julius Julius Mgundoy Aweka Wazi Miango Yake Kuelekea 2018.

Uncategorized

Julius Julius Mgundoy Aweka Wazi Miango Yake Kuelekea 2018.

 

Mwimbaji wa nyimbo za injili nchini Tanzania Julius Mgundoy ameelezea juu ya matarajio yake juu ya kutengeneza albamu yake ya pili ya nyimbo za injili ambayo itakuwa sokoni kuelekea mwaka 2018 ambapo amedai kuwa itakuwa bora zaidi kuliko albamu yake ya sasa.

Mwimbaji Julius amebainisha hayo wakati akielezea mikakati yake ya kimuziki katika mahojiano na kipindi cha gospel ndani ya redio ya SUAFM iliyopo mkoani morogoro na Ayoub Mwigune huku akidai zaidi kwamba albamu yake hiyo atashirikiana na baadhi ya waimbaji wa nyimbo za injili wenye viwango vya juu zaidi ili kuweza kuwagusa watu wengi zaidi ambao anaamini watabarikiwa na huduma ya muziki wake ambao utakuwa baraka watu wengi zaidi kutoka ndani na nje ya Tanzania.

Julis Mgondoyi kwa sasa anatamba na wimbo wake unaofahamika kwa jina la nguvu ya Bwana unao onekana kufanya vyema katika vituo mbali mbali vya redio nchini.

Kwa mawasiliano na huduma ya mialiko wasiliana na mwimbaji Julius Mgundoy kupitia:

Kwa mawasiliano zaidi au mialiko ya huduma wasiliana na mwimbaji Julius Mgundoy kupitia
Simu/WhatsApp: +255 712 466 115
Facebook: Julius Mgundoy
Instagram: @juliusmgundoy

Like facebook page >> GOSPOMEDIA  Follow instagram page >> @gospomedia

Continue Reading
You may also like...

More in Uncategorized

To Top