Videos

Audio: Julian Roberts – Read All About it(Cover)

Kutoka mjini Lusaka leo nimekusogezea wimbo uitwao Read All About it ikiwa ni cover kutoka kwa mwimbaji anayefahamika kwa jina la Julian Roberts akiwa ni mzaliwa wa nchini zambia.

”Mwaka 2014 nilimpa Yesu maisha yangu na baada ya hapo nilipata bahati ya kujiunga na choir ya vijana katika kanisa langu la kijiji, Miracle Life Family Church. Nilipoendelea kutembea na Bwana, nikamjua zaidi na zaidi, kiu na maendeleo makubwa ndani yangu yamenifanya kukushirikisha ujumbe huu wa ajabu juu ya Ufalme wa Yesu Kristo na ulimwengu, zaidi ya hayo, tuwaambie watu kuhusu upendo mkuu wa Mungu kwa kila mtu, Uaminifu Wake, huruma kubwa na matendo yake makuu, na njia bora zaidi ya kufanya yote hayo ni kupitia muziki.” – Alisema Julian Roberts

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kusikiliza na kupakua wimbo huu mzuri wa sifa na ibada, nikiamini utabarikiwa.

Download Audio

Social Media
Facebook | Instagram | Twitter: @julianstevenroberts

Like us on facebook >> GOSPO MEDIA  Follow us on instagram >> @gospomedia

Lads

Lads

Naitwa Ladslaus Milanzi, mwanzilishi na msimamizi wa tovuti hii ya habari za kikristo, nyimbo na video za muziki wa Injili, Asante kwa kutembelea tovuti hii nikiamini kuwa umebarikiwa na kufurahia na vyote ambavyo umevipata kupitia tovuti hii ikiwa ni moja ya chombo kilichobeba kusudi la kuieneza Injili na kuihudumia jamii kupitia habari na burudani. Mungu Ibariki Gospo Media, Mungu Ibariki Tanzania.
Wasiliana nami kupitia simu/whatsApp: +255 755 038 159.

Previous post

Video | Audio: Andrew Robinson - Ni Neema Yako

Next post

Audio: Suzie P. Mahalu - Mungu Akikubariki | Nikuite jina gani