Audio: Judith Mbilinyi - Nakuhitaji - Gospo Media
Connect with us

Audio: Judith Mbilinyi – Nakuhitaji

Audio

Audio: Judith Mbilinyi – Nakuhitaji

Baada ya kufanya vizuri mwaka 2018 na kufanikiwa kuingia kwenye top 100 chati ya gospomedia.com kwa mara nyingine tena mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka jijini Dar es salaam Tanzania ameachia wimbo wake mpya wa kuabudua unaokwenda kwa jina la Nakuhitaji.

Zaburi 84:5 Heri ambaye nguvu zake zatoka kwako, Na njia ziendazo Sayuni zimo moyoni mwake.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu mzuri wa Ibada tukiamini kuwa utakubariki na kugusa moyo wako kwa namna ya kipekee, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mwimbaji Judith Mbilinyi kupitia:
Simu namba/WhatsApp: +255 762 372 408
Facebook: Judith Mbilinyi
Instagram: @judithmbilinyi
Youtube: JUDITH MBILINYI

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

To Top