Connect with us

Audio: Judith Kanayo – More Than Gold

Audio

Audio: Judith Kanayo – More Than Gold

Kutoka nchini Nigeria kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 tumekusogezea wimbo mpya uitwao More than Gold kutoka kwa Judith Kanayo maarufu kama Judiikay.

More Than Gold ni wimbo wa kukiri uwezo wa Mungu na kurudisha shukrani kwa sifa na utukufu wa Bwana wetu Yesu Kristo ambaye kwa upendo wake mkuu alitusafisha dhambi zetu kwa mataso na msalaba wake, Thamani ya Damu yake ni zaidi ya ile ya dhahabu.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu ambao ni hakika kuwa utakubariki, Amen.

 

Social Media Connection:
Instagram: @judiikay

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

To Top