Connect with us

Audio: Judikay – Fountain

Judikay - Fountain

Muziki

Audio: Judikay – Fountain

Judikay - Fountain

Judikay ni moja kati ya waimbaji wanaofanya vizuri nchini Nigeria na baada ya kuachia video ya Idinma mwezi April kwa mara nyingine tena ameachia wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Fountain.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu ambao ni hakika kuwa utakubariki, Amen.

 

Social Media Connection:
Instagram: @judiikay Twitter: @officialjudikay

 

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top