Connect with us

Audio: Judah – Nakula

Audio

Audio: Judah – Nakula

Kutoka nchini Zambia leo tumekusogezea wimbo uitwao Nakula kutoka kwa mwimbaji wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Judah, Muziki huu umetayaarishwa na kurekodiwa chini ya mikono ya prodyuza anayefahamika kwa jina la Church kutoka nchini Zambia.

1 Wakorintho 13:11 Nilipokuwa mtoto mchanga nilisema kitoto, nilifahamu kitoto, nilifikiri kitoto. Lakini sasa, maadamu mimi ni mtu mzima, mambo ya kitoto nimeyaacha.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu na hakika utabarikiwa, Amen.

 

Download Audio

 

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

To Top