Connect with us

Audio: Jubylee – I Have A Miracle

Audio

Audio: Jubylee – I Have A Miracle

Kutoka nchini Nigeria leo kwa mara ya kwanza nimekusogezea wimbo mzuri wa kuabudu uitwao “I Have A Miracle” kutoka kwa mwimbaji mahiri wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Jubylee.

Neno la Mungu kutoka katika kitabu cha Mhubiri 11: 3 linasema “Mawingu yakiwa yamejaa mvua, Yataimimina juu ya nchi, Na mti ukianguka kuelekea kusini, au kaskazini, Paangukapo ule mti, papo hapo utalala.”

Je! Uko tayari kwa muujiza huo? Ikiwa ndio, sikiliza kile ambacho Mungu anasema na wewe… wingu lako limejaa na mvua ya baraka inanyeha kwako kwako … Haijalishi shida na mapito yote unayopitia, Nakupa mvua ya miujiza, iliyotengenezwa, iliyoboreshwa, na iliyofanywa kwa ajili yako, Mavuno yako ni sasa na ushindi wako ni hakika.” – alisema Jubylee.

Ni hakika kupitia wimbo huu utapata kuinuliwa na kubarikiwa, kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kusikiliza na kupakua wimbo huu, Mungu akubariki sana.

 

Download Audio

Social Media
Facebook: Jubylee
Instagram: @jubyleechris
Twittter: @jubyleechris

Like us on facebook >> Gospo Media  Follow us on instagram >> @gospomedia

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

To Top