Video | Audio: Amaray - Absolutely - Gospo Media
Connect with us

Video | Audio: Amaray – Absolutely

Audio

Video | Audio: Amaray – Absolutely

Kutoka nchini Nigeria leo nimekusogeza video ya wimbo uitwao Absolutely kutoka kwa mwimbaji wa nyimbo za Injili anayefahamika kama Amaray.

Video hii imeongozwa na director anayefahamika kama Toka McBaror na Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa chini ya mikono ya prodyuza Fredibeatz.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii ya sifa na hakika utabarikiwa, Amen.

Kwa watumiaji wa tovuti bonyeza hapa chini:

Download Audio

Kwa watumiaji wa App bonyeza hapa chini:
Download Audio

Social Media
Facebook: Official Amaray
Instagram: @amaray_amaray
Twittter: @amarayamaray
Youtube: Amaray

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

To Top