Connect with us

JOYCE OMONDI AOMBOLEZA KIFO CHA BABA YAKE

JOYCE OMONDI AOMBOLEZA KIFO CHA BABA YAKE

Top Stories

JOYCE OMONDI AOMBOLEZA KIFO CHA BABA YAKE

Na mwandishi wetu,

Kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram, Joyce Omondi alisema baba yake ameacha pengo kubwa ambalo binadamu hawezi akaliziba ila Mwenyezi Mungu. “Kuna pengo kubwa sasa moyoni mwangu, Mungu ambaye ulinifunza kumtumikia na kumpenda amekuchukua kwenda nyumbani kupumzika. Ni Mungu pekee ndiye atakayeliziba pengo hili,” Lala salamu simba wetu,” Inasomeka hivyo sehemu ya ujumbe wake.

Hata hivyo, mwimbaji huyo ambaye amevuma kwa kibao chake cha ‘Tumaini’ hakutoa taarifa zaidi kuhusiana na chanzo cha kifo cha baba yake.

Chanzo: TUKO

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

TRENDING

To Top