Connect with us

Audio: Joojo Eshun – Able God

Joojo Eshun - Able God

Muziki

Audio: Joojo Eshun – Able God

Joojo Eshun - Able God

Kutoka nchini Ghana kwa mara ya kwanza tunamtambulisha kwako mwimbaji wa nyimbo za Injili mwenye asili ya Kenya Joojo Eshun na huu ni wimbo wake mpya na wa kwanza kuachia kwa mwaka 2019 unaokwenda kwa jina la Able God.

“Able God is a song that gives hope to people who have lost hope in life and given up on themselves. As Christians, we sometimes pass through difficult moments and we feel like giving up on God, because His promises seem to be delaying, but what this song is saying to us is it may look difficult but not impossible, and every promise God has given unto us will surely come to pass because He’s the only one that called for light out of the darkness and He’s able to do exceedingly abundantly above what we even imagined.” – Joojo Eshun

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu mzuri uliobeba habari njema kwa ajili yako wewe mwana wa Mungu, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na Joojo Eshun kupitia:
Simu/WhatsApp: +254 790 549917
Facebook: joojoeshunministries
Instagram: @joojoeshunministries
Twitter: @joojo_eshun
Youtube: Joojo Eshun

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top