Connect with us

Video | Audio: John Bera – Mfalme

Audio

Video | Audio: John Bera – Mfalme

Kutoka jijini Dar es salaam kwa mara ya kwanza tunamtambulisha kwako mwimbaji mpya katika huduma ya muziki wa Injili anayefahamika kwa jina la John Bera na huu ni wimbo wake wa kwanza kuachia uitwao Mfalme.

Video hii imeongozwa na director Crix, Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za Shekina Records chini ya mikono ya prodyuza Alfred Yona na Musa.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema tukiamini kuwa itakubariki na kukuinua kila wakati, Amen.

Kwa watumiaji wa tovuti bonyeza hapa chini:

Download Now

Kwa watumiaji wa App bonyeza hapa chini:
Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mwimbaji John Bera kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 744 790 000
Facebook: John Bera
Instagram: @johnbera
Youtube: John bera

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

To Top