AudioVideo

Video | Audio: Joel Lwaga Feat. Chris Shalom – Umejua Kunifurahisha

Baada ya kufanya vizuri mwezi Juni kupitia video ya wimbo ya wimbo wake uitwao Yote Mema, Mwimbaji maarufu wa nyimbo za Injili nchini Tanzania Joel Lwaga kwa mara nyingine tena ameachia video ya wimbo wake mpya uitwao Umejua Kunifurahisha akiwa amemshirikisha mwimbaji maarufu kutoka nchini Nigeria anayefahamika kwa jina la Chris Shalom.

Video hii imeongozwa na director Steve Hunter, Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za Fresters Records

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema na hakika utabarikiwa na kuinuliwa kila wakati utakapokuwa unasikiliza wimbo huu, #umejuakunifurahisha

Kwa watumiaji wa tovuti bonyeza hapa chini:

Download Audio

Kwa watumiaji wa App bonyeza hapa chini:
Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mwimbaji Joel Lwaga kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 716 747 597
Facebook: Joel Lwaga
Instagram: @joellwaga_official
Youtube: JoelLwaga

Advertisements
Previous post

Video | Audio: Saimon Vedastus - Mungu Anaona

Next post

Video | Audio: John Bera - Mfalme