Audio

Audio: J’Oba – Green Blood

Kutoka nchini Nigeria leo tumekusogezea wimbo uitwao Green Blood kutoka kwa mwimbaji anayefahamika kwa jina la J’Oba, Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa chini ya mikono ya prodyuza Teekaywitty.

Green Blood ni wimbo ulioachiwa rasmi tarehe 1 Oktoba katika kuadhimisha miaka 58 ya uhuru wa nchi ya Nigeria, Wimbo huu umebeba ujumbe wa uamsho na kusisitiza upendo na mshikamano kwa wanaiejiria na waafrika wote na kuweka mbali tofauti zao kidini, kiuchumi, kisiasa na jamii kwa ujumla.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu tukiamini kuwa utakubariki, Amen.

 

Download Audio

Social Media
Facebook: Jerry J’oba James
Instagram: @Iam_joba_da_manofvalour
Twittter: @joba_official

Advertisements
Previous post

Audio: Revelation Feat. Protek - Get Wild

Next post

Video | Audio: Princess Leo & Bahati - Jionyeshe