Connect with us

Audio: Jimmy Gospian – Jehova

Muziki

Audio: Jimmy Gospian – Jehova

Kutoka jijini Mwanza, leo kupitia tovuti yako pendwa ya gospomedia.com tumekuwekea wimbo mpya kutoka kwa muimbaji Jimmy Gospian wimbo unaitwa Jehova wimbo ukiwa umetayaarishwa ndani ya studio ya Vibe Nation chini ya usimamizi wa producer Nusder kutoka jijini Mwanza.

gospomedia.com inakukaribisha kusikiliza na kupakua wimbo huu kutoka kwa muimbaji Jimmy Gospian na hakika utabarikiwa sana. Karibu!!

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na huduma ya mialiko wasiliana na Jimmy Gospian kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 759 950 978
Facebook: Jimmy Gospian
Instagram: @jimmygospian

NAWAPENDA - ZABRON SINGERS

Muziki

VIDEO | NAWAPENDA – ZABRON SINGERS

By October 11, 2021

TRENDING

To Top