Audio: Jimmy D Psalmist – Consuming Fire - Gospo Media
Connect with us

Audio: Jimmy D Psalmist – Consuming Fire

Audio

Audio: Jimmy D Psalmist – Consuming Fire

Kutoka nchini Nigeria leo nimekusogezea wimbo uitwao Consuming Fire kutoka kwa mwimbaji mahiri wa nyimbo za Injili hasa za kuabudu anayefahamika kwa jina la Jimmy D Psalmist. Muziki huu umetayaarishwa na mikono ya prodyuza Sunny Pee.

Mungu anapotaka kufanya operesheni katika wakati wowote hutuma ujumbe, Anapotaka kuponya, kutoa, kufungua, kuinua na kuwabariki watoto wake, hutuma neno au Zaburi. Hii ni chombo cha kiroho kilichotumwa kutoka katika kiti cha enzi kupitia kinywa cha mtumishi wake Jimmy D ambaye ametuletea ujumbe huu ambao unatupatia matarajio makubwa na kuruhusu kusudi la Mungu litimizwe katika maisha yetu.

Nina hakika kuwa utabarikiwa na kuinuliwa kupitia wimbo huu, jiandae sasa kuinua moyo wako katika ibada ya kukutana na Mungu.

 

Download Audio

Social Media
Facebook | Instagram | Twitter | YouTube  jimmydpsalmist

Like us on facebook >> GOSPO MEDIA  Follow us on instagram >> @gospomedia

More in Audio

To Top