Connect with us

Video: Jessica Feat. Walter Chilambo – Nimeamini

Jessica Feat. Walter Chilambo Nimeamini

Muziki

Video: Jessica Feat. Walter Chilambo – Nimeamini

Jessica Feat. Walter Chilambo Nimeamini

Kutoka jijini Dar es salaam kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 tumekusogezea video mpya ya wimbo uitwao Nimeamini kutoka kwa mwanadada Jessica wa kundi la waimbaji wa nyimbo za Injili maarufu kama J Sisters akiwa ameshirikisha Walter Chilambo.

Video hii imeongozwa na director Sesam, Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa chini ya mikono ya prodyuza Walter kutoka studio za Love Music.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema ambayo kwa hakika itakubariki na utaifurahia kweli kweli, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya huduma wasiliana na Jessica (J Sisters) kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 758 299 425
Facebook: J sisters
Instagram: @official_jsisters
YouTube: Official J Sisters

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

NAWAPENDA - ZABRON SINGERS

Muziki

VIDEO | NAWAPENDA – ZABRON SINGERS

By October 11, 2021

TRENDING

To Top