Connect with us

Jeshi la polisi Mbeya: Kila Kanisa linajilinda wakati wa ibada

Jeshi la polisi Mbeya Kila Kanisa linajilinda wakati wa ibada2b

Habari

Jeshi la polisi Mbeya: Kila Kanisa linajilinda wakati wa ibada

Jeshi la Polisi mkoani Mbeya limesema kila kanisa au taasisi ya kidini mkoani humo lina vijana maalum wanaosimamia masuala ya usalama wa waumini wao wakati wa ibada na hakuna askari wa jeshi hilo anayeruhusiwa kuingia ndani ya kanisa lolote kwa ajili ya kulinda usalama wa waumini.

Kamanda wa Polisi mkoa wa Mbeya, Ulrich Matei ameyasema hayo wakati akitolea ufafanuzi kuhusu uvumi unaosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa Jeshi Polisi mkoani Mbeya juzi liliwakamata na kuwazuia watu waliovalia sare za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kushiriki ibada ya Jumapili katika kanisa katoliki la Bikira Maria wa fatima, Parokia ya Mwanjelwa jijini Mbeya.

Chanzo: ITV

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top