Connect with us

Audio: Jennifer Mgendi-Nawashukuru Adui

Muziki

Audio: Jennifer Mgendi-Nawashukuru Adui

Kutoka jijini Dar es salaam leo kupitia tovuti ya gospomedia.com tumekuwekea wimbo mpya kutoka kwa muimbaji mahiri na mkongwe wa nyimbo za nyimbo za Injili Tanzania anayefahamika kwa jina la Jennifer Mgendi na huu ni wimbo wake mpya unaoitwa Nawashukuru Adui uliotengenezwa na producer C9 kutoka studio ya C9 Records.

Akiongea na gospomedia.com muimbaji Jennifer Mgendi amesema kuwa wimbo huu wa Nawashukuru Adui unapatikana kwenye albam yake mpya inayotambulika kwa jina la Nyuma ya Mlima ikiwa na mkusayiko wa nyimbo 6 na album hii kwasasa inapatikana sokoni kwa wauzaji wote wa album za waimbaji wa nyimbo za Injili.

gospomedia.com tunakukaribisha kuusikiliza na kuupakua wimbo huu wa Nawashukuru Adui kutoka kwa muimbaji mkongwe Jennifer Mgendi kisha washirikishe na wengine kwa kadri uwezavyo katika kumpa sapoti muimbaji huyu mahiri ikiwa ni sehemu ya kuisambaza Injili kupitia muziki wa Injili na hakika utaweza kubarikiwa na kuinuliwa zaidi kila utakapokuwa unasikiliza wimbo huu. Karibu!!

Download

Kwa mawasiliano zaidi au mialiko ya huduma wasiliana na muimbaji Jennifer Mgendi kupitia
Simu/WhatsApp: +255 713 293 734
Facebook Page: Jennifer Mgendi

NAWAPENDA - ZABRON SINGERS

Muziki

VIDEO | NAWAPENDA – ZABRON SINGERS

By October 11, 2021

TRENDING

To Top