Maarifa

JE WAJUA JE WAJUA? KIJANA MDOGO, ALIYEHUKUMIWA KIFO KWA KITI CHA UMEME

George Junius Stinney, Jr. Ndiye kijana mdogo Mwenye umri wa miaka 14, aliyehukumiwa kifo kwa kiti cha umeme mwaka 1944 baada ya wasichana wawili wa kizungu , Betty June Binnicker wa miaka 11 na Mery Emma Thames wa miaka 8 kupotea na miili yao kuokotwa kesho yake ikiwa tayari wamekufa na mtu wa mwisho kuonekana akiongea na hawa watoto alikuwa ni huyu kijana mwenye asili ya afrika – George Junius Stinney(14).

140122183159-erin-dnt-mattingly-george-stinney-case-revisited-00005306-story-top

Kesi hii ilikuwa batili maana mashahidi wa kesi hii walikuwa polisi waliosema George amekiri shitaka(confess) ila hapakuwepo na maandishi(records)yoyote ya kuonyesha kukiri kwake.

Polisi wawili na madaktari walioenda eneo la tukio na madaktari kuifanyia miili postmortem. Polisi na madaktari hawa walikuwa wazungu.

Kesi hii ilichukua siku moja , jopo la majaji lilikuwa ni wazungu pekee kwasababu kipindi hicho BLACKS hawakuruhusiwa kupiga kura(right to vote), Goerge alibaki pekee yake bila shahidi kwasababu alikuwa mweusi(black).

Kesi ilichukuwa masaa mawili na kumhukumu George hukumu ya kifo kwa kukaa kiti cha umeme.

Wakati anawekwa kwenye kiti cha umeme ilikuwa ni taabu kidogo kwani George alikuwa na urefu wa sm 155 na uzito usiopungua pounds 90 (40kg) kutokana na umbile lake dogo code ya umeme ilikuwa taabu kutoa umeme.

Hivyo, George akawekewa mfano wa sufuria kichwani na akavikwa mask ya umeme kisha apigwa na shot ya umeme yenye nguvu ya 2400V kutokana na udogo wa kichwa chake  mask ilifumuka na kuonesha fuvu lake likiwa wazi, midomo akitokwa na mate na machozi machoni.

Wakapiga shot nyingine George akawa amefariki….baaba ya kufariki mikanda aliyokuwa amefungwa mikononi. Mkono mmoja wa kushoto ulikata mkanda kuashiria alikufa kifo cha kinyama….

An undated photo provided by the South Carolina Department of Archives and History shows George Stinney Jr. the youngest person ever executed in South Carolina. Sixty-five years later, a community activist is fighting to clear Stinney's name, saying the young black boy couldn't have killed two white girls. George Frierson, a 56-year-old school board member and textile inspector, believes Stinney's confession was coerced, and that his execution was just another injustice blacks suffered in Southern courtrooms in the first half of the 1900s. (AP Photo/South Carolina Department of Archives and History)

An undated photo provided by the South Carolina Department of Archives and History shows George Stinney Jr. the youngest person ever executed in South Carolina. Sixty-five years later, a community activist is fighting to clear Stinney’s name, saying the young black boy couldn’t have killed two white girls. George Frierson, a 56-year-old school board member and textile inspector, believes Stinney’s confession was coerced, and that his execution was just another injustice blacks suffered in Southern courtrooms in the first half of the 1900s. (AP Photo/South Carolina Department of Archives and History)

  R.I.P George Junius Stinney, Jr (14).
Vacated means hukumu iliyopita ya kumkuta na hatia na hatimaye kumuua haikua halali???
A group of people investigated his case, seeking to gain justice for Stinney. In 2013 his family petitioned for a new trial. On December 17, 2014, his conviction was posthumously vacated 70 years after his execution, because the circuit court judge ruled that he had not been given a fair trial; he had no effective defense and his Sixth Amendment  had been violated.

Like our facebook Page>>>> GospoMedia

Advertisements
Previous post

MUSIC VIDEO: ONE DAY-JULIANI

Next post

USIPITWE KUITAZAMA MUSIC VIDEO YA GUARDIAN ANGEL-REJEA