Connect with us

Audio: Jay Alain, Okito Feat. Maisha Manasse – Matendo

Muziki

Audio: Jay Alain, Okito Feat. Maisha Manasse – Matendo

Kutoka nchini Marekani kwa mara nyingine tena tumekusogezea wimbo mzuri wa sifa uitwao Matendo kutoka kwa vijana wanaomtumikia Mungu kwa njia ya uimbaji hawa si wengine bali ni Jay Alain na Okito hapa wakiwa wamemshirikisha mwimbaji Maisha Manasse.

Matendo ni wimbo wa sifa unaomtukuza Mungu kwa matendo yake makuu ambayo kwa hakika yameonekana kwa namna ya ajabu katika maisha yetu, Kupitia wimbo huu tunamrudishia Bwana wetu Yesu Kristo shukrani Baraka na rehema zake zituinue kwenda viwango vingine na milele yote tutasifu jina lake.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu mzuri wa sifa ambao ni hakika utakubariki, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko wasiliana na mwimbaji Jay Alain kupitia:-
Simu/WhatsApp: +1 (773) 297-4477
Facebook: Jay Alain
Instagram: @jayalain
Youtube: Jay Alain

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

GUARDIAN ANGEL - NI TABIBU_audio

Muziki

AUDIO | GUARDIAN ANGEL – NI TABIBU

By September 22, 2021

TRENDING

To Top