Connect with us

Audio: Jastine Jeremiah – Yesu Ni Rafiki Wa Kweli

Justine Jeremiah - Yesu Ni Rafiki Wa Kweli

Muziki

Audio: Jastine Jeremiah – Yesu Ni Rafiki Wa Kweli

Justine Jeremiah - Yesu Ni Rafiki Wa Kweli

Kutoka mjini Singida kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 mwimbaji wa nyimbo za Injili Jastine Jeremiah ameachia wimbo wake wa kwanza unaoitwa Yesu Ni Rafiki Wa Kweli.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu tukiamini kuwa utakubariki, Amen.

 

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na Jastine Jeremiah kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 688 109 937
Facebook: Jastine Jeremiah
Instagram: @jastinjeremiah

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

TRENDING

To Top