Connect with us

Video: Jane Watetu – Jina

Jane Watetu - Jina

Muziki

Video: Jane Watetu – Jina

Jane Watetu - Jina

Kutoka jijini Nairobi Kenya kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 tumekusogezea video ya wimbo uitwao Jina kutoka kwa mwimbaji Jane Watetu.

“This song speaks about the Name above Every other Name,that is the Name of Christ Jesus.At the mention of the name Jesus,every knee shall bow and every tongue confess that Jesus is Lord. The name of Jesus has power wonder working power. There is no bondage,disease,weakness,storm,pain that will have authority Than the name Christ Jesus.” – Jane Watetu

Video hii imeongozwa na director Bakari Ousman kutoka CrossLife Movement, Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa chini ya mikono ya prodyuza Johntezz.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video ya wimbo huu tukiamini kuwa utabarikiwa na kuinuliwa, Amen.

Social Media Connection:
Facebook: Jane Watetu
Instagram: @janewatetu
Twitter: @watetulioness
YouTube: Watetu Lioness

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

TRENDING

To Top