Connect with us

James Wachenda Aja na Filamu Walimwengu

Habari

James Wachenda Aja na Filamu Walimwengu

James Wachenda

Mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka nchini Marekani James Wachenda amefunguka juu ya ujio wa filamu yake mpya inayokwenda kwa Walimwengu inayotarajiwa kutoka hivi karibuni.

Akiongea na Gospomedia.com Wachenda amesema kuwa filamu hiyo ni ya kwanza kuifanya toka aanze huduma ya uimbaji miaka kadhaa iliyopita na anamiini itakuwa ni filamu ya pekee iliyojaa mafunzo kwa watu wote.

“Filamu hii inaitwa WALIMWENGU inazungumzia tabia za watu wa dunia wanavyofanya na Mungu anavyoweza kubadilisha mtu na hii kwakweli ni filamu inayo onya kuwa pasipo kumuhusisha Mungu hasara yake ni kubwa katika maisha ya leo hasa kwa yule aliye mkristo na hata asiye mkristo.” – alisema Wachenda

Kwa mawasiliano zaidi ya jinsi ya kuipata filamu hii, mialiko ya kihuduma wasiliana na James Wachenda kupitia:
Simu/WhatsApp: +1 (252) 626-9680
Facebook: James Wachenda
Instagram: @jameswachenda
Youtube: James Wachenda

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Habari

To Top