Music

Audio: James Ezekiel(The God Son) Feat. Joshua Laizer – Niumbie Moyo Safi

Kutoka jijini Arusha leo kwa mara ya kwanza nakukaribisha kusikiliza na kupakua wimbo mzuri wenye mahadhi ya HipHop uitwao Niumbie Moyo Safi kutoka kwa muimbaji mpya katika kiwanda cha muziki wa Injili Tanzania anayefahamika kwa jina la James Ezekiel au unaweza kumwita ”The God Son” hapa akiwa amemshirikisha muimbaji Joshua Laizer. muziki huu umetayaarishwa na mikono ya prodyuza Elly ndani ya studio za Elly Production zilizopo jijini Arusha.

Niumbie Moyo Safi, ni wimbo wenye mahadhi na ladha ya Gospel Hiphop na RnB ukielezea jinsi mwanadamu anavyoaswa kuwa na moyo safi ili kumpendeza Mungu…. ni imani yangu utabarikiwa kila utakapousikiliza.

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kusikiliza na kupakua wimbo huu ambao nina hakika utakubariki sana! Ameen.

 

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na huduma ya mialiko wasiliana na muimbaji James Ezekiel (The GodSon) Kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 676 074 166
Facebook: James Ezekiel
Email: jamesezekiel99@gmail.com
Like facebook page >> GOSPOMEDIA  Follow instagram page >> @gospomedia

Lads

Lads

Naitwa Ladslaus Milanzi, mwanzilishi na msimamizi wa tovuti hii ya habari za kikristo, nyimbo na video za muziki wa Injili, Asante kwa kutembelea tovuti hii nikiamini kuwa umebarikiwa na kufurahia na vyote ambavyo umevipata kupitia tovuti hii ikiwa ni moja ya chombo kilichobeba kusudi la kuieneza Injili na kuihudumia jamii kupitia habari na burudani. Mungu Ibariki Gospo Media, Mungu Ibariki Tanzania.
Wasiliana nami kupitia simu/whatsApp: +255 755 038 159.

Previous post

Audio: Baraka Erasto - Nasimama

Next post

Audio: Joel Masingisa - Ndani Yako