Habari

Jacob Sanke Kuzindua Albamu Yake Mpya Siku Zinakuja March 26/2016 Dar es Salaam.

Mwimbaji wa muziki wa Injili Tanzania Jacob Sanke anatarajia kuzindua Albamu yake ya Siku Zinakuja katika kanisa la Fpct-Kurasini ambayo albamu hiyo ina jumla ya nyimbo saba.

Ameweka wazi  uzinduzi wake huo kuwa utafanyia katikati ya Ibada itakayokuwa inaendelea “Nimeamua sasa kufanya uzinduzi huo kutokana na watu kuwa wanahitaji na wengine wamekuwa wakinipigia simu ili waweze kuipata  albamu yangu , pia hii si mara ya kwanza kufanya uzinduzi wa Albamu kwani nishawahi kufanya uzinduzi Jijini Mbeya ambako ni nyumbani kwetu pia ninazindua hapa Dar ndipo ninapofanya shughuli zangu za kila siku” Alisema Jacob Sanke

Mwimbaji huyu anafahamika na nyimbo zake kama Siku zinakujaSafariRoho wa Bwana Shuka na nyingine nyingi Kanisa la Fpct-Kurasini linapatikana mkabala na viwanja vya mwalimu nyerere maarufu kama SABASABA-MAONYESHO 

Kwa mawasiliano zaidi na mwimbaji Jacob Sanke kwa huduma ya mialiko  na kununu Dvd yake na Cd wasiliana naye kupitia:

Simu/WhatsApp: +255 716 654 579
Facebook: Jacob Sanke
Instagram: @jacob nyoni
Youtube: Ikupa Mwambenja

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA instagram: @gospomedia

Advertisements
Previous post

Ufahamu Ukimya wa Daudi Mpemba Wangu Wenye Manufaa Makubwa Kwa Mashabiki.

Next post

Tamasha la Mtakatifu Kutoka Kwa John Lisu Lililofanyika Arusha Tar 5 March 2017. Habari Picha Hizi Hapa.