Connect with us

Video | Audio: Jackson Jack – Wema Wako

Audio

Video | Audio: Jackson Jack – Wema Wako

Kutoka jijini nchini Marekani kwa mara ya kwanza tunamtambulisha kwako mwimbaji anayefahamika kwa jina la Jackson Jack na hii ni video ya wimbo wake mpya iitwayo Wema Wako.

Video hii imeongozwa na director Ab Nabil, Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za Skylife Records chini ya mikono ya prodyuza Ptody kutoka nchini Kenya.

“Mungu anatupenda na hatatuacha kutupatia neema nyingi, Tumaini langu ni kwamba kupitia video hii ya Wema Wako Roho Mtakatifu atamsaidia kila mmoja wenu kusikia na kupata uwepo wa Mungu. Hakika Mungu aendelee kukubariki!.” – alisema Jackson Jack

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema ambayo ni hakika itagusa na kukubariki kwa namna ya kipekee, Amen.

Kwa watumiaji wa tovuti bonyeza hapa chini:

Download Audio

Kwa watumiaji wa App bonyeza hapa chini:
Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mwimbaji Jackson Jack kupitia:
Simu/WhatsApp: +1 (515) 809-7351
Facebook: Jackson Jack
Instagram: @jacksonjacks12
Youtube: Jackson Jack

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

To Top