Audio: Isioma - This is me - Gospo Media
Connect with us

Audio: Isioma – This is me

Audio

Audio: Isioma – This is me

Femcee Isioma mwimbaji na rapa wa nyimbo za Injili kutoka nchini nigeria ambaye mwezi huu wa April ameachia wimbo wake mpya uitwao “This is Me”.  muziki huu umetayaarishwa na prodyuza anayefahamika kwa jina la DonL37%  kutoka studio za Lamp House na Chocolate City.

Wimbo huu unazungumzia safari ya mwimbaji Isioma aliyotokanayo chini kabisa hadi juu akiwa na Yesu akielezea changamoto na vikwazo alivyokutana navyo, mafanikio na ushindi kwa ujumla ambao Mungu amempa pia. lengo la wimbo huu hasa likiwa ni kuwatia moyo vijana ambao bado hawajitimiza ndoto zao akiwasisitiza kuwa karibu zaidi na Bwana Yesu ili wazidi kupata mwanga mpya katika maisha yao, kufanya kazi kwa bidii bila kukata tamaa.

Ikiwa wewe ni mpenzi wa Gospel Dance hall yenye mchanganyiko wa radha mbalimbali za muziki ni hakika utaifurahia sana kazi hii, Karibu!!

 

Download Audio

Social Media
Facebook:Isioma Nwabuoku | Instagram:@isiomanwabuoku | Twitter: @isiomanwabuoku

Like us on facebook >> GOSPO MEDIA  Follow us on instagram >> @gospomedia

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

To Top