Connect with us

Video: Isaac Sakala – Mi Ni Wako Yesu

Isaac Sakala - Mi Ni Wako Yesu

Muziki

Video: Isaac Sakala – Mi Ni Wako Yesu

Isaac Sakala - Mi Ni Wako Yesu

Kutoka jijini Arusha kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 leo tumekusogezea video ya wimbo uitwao Mi Ni Wako Yesu kutoka kwa mwimbaji na mtayaarishaji wa nyimbo za Injili Isaac Sakala.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema ambayo ni hakika kuwa utabarikiwa, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na Isaac Sakala kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 744 471 364
Instagram: @mzubabeat
Youtube: isaac sakalaaa

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

NAWAPENDA - ZABRON SINGERS

Muziki

VIDEO | NAWAPENDA – ZABRON SINGERS

By October 11, 2021

TRENDING

To Top