Connect with us

Video: Irene Mwakajila – Kwa Muda

Muziki

Video: Irene Mwakajila – Kwa Muda

Irene Mwakajila - Kwa Muda

Kutoka jijini Dar es salaam kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 tunamtambulisha kwako mwimbaji Irene Mwakajila na hii ni video yake ya kwanza kuachia inayoitwa Kwa Muda.

Video hii imeongozwa na director D Brother, Muziki ukiwa umetayarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za Kazkaz Music Records chini ya mikono ya prodyuza Sulesh.

Tunaamini kupitia video ya wimbo huu utabarikiwa na kuinuliwa kila wakati utakapokuwa unatazama na kusikiliza wimbo huu, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na Irene Mwakajila kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 687 488 144
Facebook: Irene Mwakajila
Instagram: @irenemwakajila

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top