Connect with us

Audio: Insali – Dhumuni(Purpose)

Audio

Audio: Insali – Dhumuni(Purpose)

Kutoka katika huduma ya muziki wa Injili nchini Zambia leo tumekueletea wimbo mzuri uitwao Dhumuni kutoka kwa mwimbaji anayefahamika kwa jina la Insali, Muziki huu umetayaarishwa na kurekodiwa chini ya mikono ya prodyuza ShinkoBeats.

Dhumuni ni wimbo unaotukumbusha juu ya kusudi la kila mmoja kuumbwa na uwepo wake katika ya dunia hii kwamba umebeba kusudi la kumtumikia Mungu katika kujenga na kulinda ufalme wake hapa duniani, Licha ya shida na vikwazo unavyoweza kupitia usikate tamaa tambua kuwa umeumbwa kwa Dhumuni(Kusudi) ndani yako.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu ambao ni imani yetu kuwa utakubariki na kukinua, Ameen.

 

Download Audio

Like us on facebook >> Gospo Media Follow us on instagram >> @gospomedia

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

To Top