Audio

Audio: Inno Shaudo – Mungu wa Ajabu

Kutoka jijini Arusha leo kwa mara ya kwanza namtambulisha kwako muimbaji na prodyuza wa nyimbo za muziki wa Injili anayefahamika kwa jina la Inno Shaudo ambaye leo ameuachia wimbo wake mzuri uitwao Mungu wa Ajabu ukiwa umetayaarishwa na mikono yake mwenyewe.

Akizungumza na gospomedia.com muimbaji Inno Shaudo Amesema: –

”Ni mengi tunayafanya ambayo hayampendezi Mungu ambayo kama Mungu angeamua kulipa tusingekua hapa tulipo ni kwa sababu tu yeye ni Mungu wa huruma. nilipata maishairi ya wimbo huu baada ya kusoma Zaburi 51 kuanzia mstari wa 9. ”Ugeuke, usiziangalie dhambi zangu; uzifute hatia zangu zote.”

Nina imani utabarikiwa kupitia wimbo huu ambao nimekuwekea hapa ili uweze kusikiliza na kupakua, Jina la Bwana libarikiwe.

 

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya huduma wasiliana na mwimbaji Inno Shaudo kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 742 426 966
Instagram: @inno_praize

Like facebook page >> GOSPOMEDIA  Follow instagram page >> @gospomedia

Advertisements
Previous post

Audio: Joseph Mabula - Tumeona

Next post

Audio: Deusdedith Peter Feat. Neema Ng'asha - Asante