AudioVideo

Video | Audio: Imma Kuleba – Major One

Baada ya mwezi wa tano kuachia video ya wimbo uitwao Njia ya uzima kwa mara nyingine Rapa Imma Kuleba ameachia video yake ya tano kwa mwaka 2018 iitwayo Major One. Video hii imeongozwa na Director Noster, Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za Enzi Records chini ya mikono ya prodyuza Amzy.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii, Barikiwa!

Download Audio

wa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na rapa Imma Kuleba kupitia
Simu/WhatsApp: +255 656 843 188
Facebook: Imma Kuleba
Instagram: @immakuleba
Twitter: @immakuleba
YouTube: Imma Kuleba

Like us on facebook >> GOSPO MEDIA  Follow us on instagram >> @gospomedia

Advertisements
Previous post

Audio: Peterio Peter - Nichezeje

Next post

Video | Audio: Atosha Kissava - Usisahau Ulikotoka