Mafundisho

IMANI INAYOZAA MATUNDA SOMO KUTOKA KWA MWALIMU STELLA J. MHAGAMA.

Shalom wapendwa, GospoMedia leo inakukaribisha kutazama somo la IMANI INAYOZAA MATUNDA kutoka kwa mwalimu Stella J. Mhagama hakika utajifunza mengi zaidi kupitia somo hili katika uhalisia wa maisha yetu ya kila siku kama wakristo. kwa swali, maoni na huduma ya kiroho wasiliana na mwalimu Stella J. Mhagama kupitia Facebook: Stella Jonathan Mhagama au kupitia WhatsApp: +12055771477 Barikiwa sana!!

Like Page yetu ya facebook >>>> GOSPOMEDIA

Advertisements
Previous post

DOWNLOAD MUSIC AUDIO: MOSES SIMKOKO FEAT ESTER PANGISA-BABA WACHAFULIE LUGHA

Next post

NYIMBO KUMI BORA ZILIZOFANYA VIZURI MWEZI WA TANO 2016. HIZI HAPA