Connect with us

Video | Audio: Idowo Eyin – Hello God

Audio

Video | Audio: Idowo Eyin – Hello God

Hello God ni wimbo wa tano kuachia kutoka kwa mwimbaji wa nyimbo za Injili mwenye asili ya Nigeria akifanya huduma ya muziki wa Injili nchini Uingereza akifahamika kwa jina la Idowo Eyin.

Video hii imeongozwa na director Uvi Orogun, Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa chini ya mikono ya prodyuza Mr. Shabz.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema ambayo ni imani yetu kuwa itakubariki, Amen.

Download Audio

Social Media
Facebook: Idowu Eyin
Instagram: @idowueyin
Twittter: @idowueyin

 

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

To Top