Matukio

Huyu ndiye Nabii mdogo ambaye Mungu anamtumia kwa viwango vya juu

Mtumishi wa Mungu Nabii Eliya Mungu amekuwa akimtumia kwa Viwango vya juu, Kupitia yeye watu wengi Wamefunguliwa na Kushuhudia Matendo Makuu ya Mungu.

Huduma ya Mtumishi wa Mungu Nabii Eliya inapatikana Kimara Temboni jijini Dar es salaam, Mtumishi wa Mungu Nabii Eliya Anakukaribisha wewe na yule kwa ajili ya huduma ya maombi na maombezi.

Wewe ambaye umefungwa na nguvu za giza, magonjwa, Unaye hangaika kutafuta Kazi Bila mafanikio, wewe ambaye unahangaika na viwango vya kiroho njoo na Mtumishi wa Mungu Nabii Eliya Atakuombea na Maisha yako hayatabakia kama yalivyokuwa.

Kwa mawasiliano zaidi na jinsi ya kufika kanisani kwa ajili ya huduma piga simu +255 655 799 935 au +255 759 726 045. Watu wote mnakaribishwa!

Advertisements
Previous post

Audio: Frank Edwards Feat. Mayo – Heaven Rocks

Next post

Video | Audio: Mnene Makweta - Haikatai