Audio: Huruma Mbogela - Ee Baba Ninakuabudu - Gospo Media
Connect with us

Audio: Huruma Mbogela – Ee Baba Ninakuabudu

Audio

Audio: Huruma Mbogela – Ee Baba Ninakuabudu

Huruma Mbogela ni moja kati ya waimbaji wanaoendelea kufanya vizuri katika huduma ya muziki wa Injili nchini Tanzania na kwa mara nyingine tena leo ameachia wimbo wake mpya uitwao Ee Baba Ninakuabudu ukiwa ni moja ya wimbo pekee aliouchia katika kudhimisha siku yake ya kuzaliwa leo tarehe 29 Septemba, Muziki huu umetayarishwa na kurkodiwa chini ya mikono ya prodyuza Oggy Keyz.

“Mungu ni Roho, nao wamwabuduo yeye imewapasa kumwabudu katika ROHO na KWELI” Yohana 4:23-24 Mungu anatafuta watu kama hao ndio wamfanyie Ibada, na kumbuka, Mungu anaketi(anaishi) juu ya sifa za watu wake.

Kumbe kutomfanyia Mungu Ibada ya kweli, ni kumnyima Mungu makazi yake. Ungana pamoja nami, kumhudumia Mungu kwa wimbo huu, naye atayahudumia maisha yako, hakuna aliyewahi Mhudumia Mungu, akabaki alivyo.” – alisema Huruma Mbogela.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu na ni imani yetu kuwa utabarikiwa, Ameen.

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mwimbaji Huruma Mbogela kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 654 900 180
Facebook: Huruma Mbogela
Instagram: @hurumambogela
Twittter: @hurumambogela
Youtube: Huruma Mbogela

Like us on facebook >> Gospo Media Follow us on instagram >> @gospomedia

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

To Top