Gospo Media ni kampuni inayojishughulisha na utoaji wa huduma ya habari za kikristo na matangazo ya kazi zinazoihusu Injili na watenda kazi wake, kutoka ndani na nje ya Tanzania.

Kampuni hii imekijikita zaidi katika kuzihudumia taasisi, makanisa, mashirika, watu binafsi na wanamuziki wa nyimbo za Injili kutoka ndani na nje ya Tanzania bila kujali madhehebu yao, makabila yao, ujinsia wao hata utaifa wao.

Huduma nyingine zinazotolewa na kampuni ya Gospo Media ni pamoja na:

  1. Kuandaa na kurusha habari mbalimbali za kikristo zinazohusu makanisa, taasisi na waimbaji wa muziki wa Injili.
  2. Tunapigaji picha za aina mbalimbali.
  3. Tunarekodi na kutengeneza video za aina mbalimbali za matangazo, muziki wa Injili, matukio mbalimbali yanayohusu makanisa, taasisi na waimbaji wa nyimbo za Injili.
  4. Tunatengeneza matangazo ya graphics, tunabuni logo, tunatengeneza vitambulisho, business cards, Stickers na brochures.
  5. Tunatengeneza matangazo ya redio na televisheni.
  6. Tunafanya promosheni ya muziki wa Injili, matukio na matangazo ya aina mbalimbali.
  7. Tunarekodi vipindi vya redio na televisheni.
  8. Tunatoa huduma ya ushauri wa muziki, matumizi ya vyombo vya habari na mitandao ya kijamii.

Ofisi zetu zinapatikana Magomeni, jijini Dar es salaam, Tanzania, Kwa maelezo zaidi kuhusu huduma na gharama zetu wasiliana nasi kupitia:

Simu: +255 658 293 696, +255 679 433 323
WhatsApp: +255 755 038 159
Facebook: Gospo Media
Instagram: @gospomedia
Twitter: @gospomedia
Email: gospomedia@gmail.com

Advertisements