Gospo Media ni Gospo Media ni kampuni inayojihusisha na utoaji wa huduma ya habari na matangazo ya kazi zinazoihusu Injili na jamii, nchini Tanzania.

kampuni hii imekijikita katika kuzihudumia taasisi, makanisa, mashirika, wanamuziki wa nyimbo za Injili na watu binafsi katika huduma ya habari na matangazo ya aina mbalimbali.

Huduma zinazotolewa na Gospo Media ni pamoja na Kuandaa na kurusha habari mbalimbali za kikristo, makanisa, taasisi na muziki wa Injili, Tunapigaji picha za aina mbalimbali, Tunarekodi na kutengeneza video za aina mbalimbali, Tunarekodi matukio mbalimbali ya makanisa, taasisi na waimbaji wa nyimbo za Injili, Tunatengeneza matangazo ya graphics, Tunabuni logo, Tunatengeneza vitambulisho, businesscards, Stickers na brochures, Tunatengeneza matangazo ya redio na televisheni, Tunafanya promosheni ya muziki wa Injili, matukio na matangazo ya aina mbalimbali, Tunarekodi vipindi vya redio na televisheni n.k

Gharama zetu ni nafuu sana karibu tukuhudumie katika kiwango bora na kwa kuzingatia muda, Tupo tayari kukuhudumia.

Kwa maelezo zaidi kuhusu huduma za Gospo Media wasiliana nasi kupitia:

Simu: +255 658 293 696, +255 679 433 323
WhatsApp: +255 755 038 159
Facebook: Gospo Media
Instagram: @gospomedia
Twitter: @gospomedia
Email: gospomedia@gmail.com

Ofisi zetu zinapatikana Msasani karibu na kanisa la EAGT Galilaya, Tanzania. Karibu sana.