Mafundisho

HOFU KATIKA MAISHA SOMO KUTOKA KWA MWALIMU STELLA J. MHAGAMA

Shalom wapendwa, GospoMedia leo inakukaribisha katika somo la HOFU KATIKA MAISHA YA MWAMINI kutoka kwa mwalimu Stella J. Mhagama ambapo ameleezea vile hofu inavyoweza kuharibu utaratibu wako wa maisha ya kawaida na utaratibu wako wa maisha ya kiroho na nini kifanyike kuepuka hofu katika maisha yako hakika utajifunza na kufunguliwa jambo jipya kupitia somo hili ambalo linagusa uhalisia wa maisha yetu ya kila siku kama wakristo tunaomwamini yesu kristo. kwa swali, maoni na huduma ya kiroho wasiliana na mwalimu Stella J. Mhagama kupitiaFacebook: Stella Jonathan Mhagama au kupitia WhatsApp: +12055771477 Barikiwa sana!!

Like Page yetu ya facebook >>>> GOSPOMEDIA

Advertisements
Previous post

VIDEO KUMI BORA ZILIZOFANYA VIZURI MAY 2016. HIZI HAPA.

Next post

MUSIC VIDEO: ROBBINAH JAY-TUMAINI