Connect with us

Hizi Ndizo Video Kumi Bora Zilizofanya Vizuri Mwezi wa Tano, 2017.

Muziki

Hizi Ndizo Video Kumi Bora Zilizofanya Vizuri Mwezi wa Tano, 2017.

Kupitia tovuti yako pendwa ya gospomedia.com hizi ni video kumi bora zilizofanya vizuri zaidi mwezi wa tano, 2017. video hizi zimefanikiwa kuingia kwenye chati ya kumi bora ya gospomedia.com kwa vigezo mbalimbali vya ubora wa video hizi na idadi ya watu wote walioweza kuzitazama video hizi mara baada ya kupandishwa kwenye tovuti ya gospomedia.com na channel zao za Youtube.

Video hizi kumi zimefanikiwa kupata nafasi ya kuingia kwenye mchakato wa Tuzo za Gospo (Gospo Awards) zinazotarajiwa kutolewa na gospomedia 2018.

1.Mercy Masika – Shule Yako (Nifunze)


Download Audio

2. Christina Shusho – Yote Alimaliza


Download Audio

3. Mr.Vee The Spice – All Of A Sudden


Download Audio

4. Daddy Owen – Tazama


Download Audio

5. Guardian Angel – Kesho Yako


Download Audio

6. Paul Clement – Wimbo


Download Audio

7. David Cosmas – Nioneshe Njia


Download Audio

8. Dona Feat SirMbezi – Uthamani


Download Audio

9. Agness Nkugwe – AchaNikuimbie


Download Audio

10. Pastor Mwambona Feat Ashley Nassary – Mwamba


Download Audio

Uongozi na timu kazi ya gospomedia.com inatoa pongezi kwa wanamuziki na waimbaji wote ambao video zao zimefanikiwa kuingia kwenye chati hii ya kumi bora kwa mwezi wa tano 2017, Baraka nyingi pia ziwafikie wadau na watu wote waliowezesha video za waimbaji hawa kuingia kwenye chati hii ya kumi bora… Barikiwa.!!

Like Page yetu ya facebook > GOSPOMEDIA.COM instagram> @gospomedia

NAWAPENDA - ZABRON SINGERS

Muziki

VIDEO | NAWAPENDA – ZABRON SINGERS

By October 11, 2021

TRENDING

To Top