Connect with us

Hizi Ndizo Video Kumi Bora Zilizofanya Vizuri Mwezi Wa Kumi Na Mbili 2016.

Muziki

Hizi Ndizo Video Kumi Bora Zilizofanya Vizuri Mwezi Wa Kumi Na Mbili 2016.

Kupitia tovuti ya GospoMedia.com hizi ni video kumi Bora zilizofanya vizuri zaidi mwezi wa kumi na mbili 2016, video hizi zimefanikiwa kuingia kwenye chati ya kumi bora ya gospomedia.com kwa kigezo cha ubora wa video zenyewe na kupitia watu wote walioweza kuzitazama video hizi mara baada ya kupandishwa kwenye tovuti ya gospomedia.com, video hizi kumi zimefanikiwa kupata tiketi ya kuingia kwenye mchakato wa Tuzo za Gospo (GOSPO AWARDS) 2016/2017 zinazotarajiwa kutolewa na gospomedia tarehe 30 mwezi wa nne mwaka 2017 jijini Dar es salaam.

1. Christina Shusho-Akutendee Nini

DOWNLOAD

2. Ritha Komba-Uniongoze

DOWNLOAD

3. Goodluck Gozbert – Ndiwe Mungu

DOWNLOAD

4. Benard & Mercy Masika-Huyu Yesu

DOWNLOAD

5. Beatrice Kitauli Feat Rose Muhando-Kesho

DOWNLOAD

6. Betty Barongo-Mawazo Ya Mungu

DOWNLOAD

7. Stiven Mully-Nipokee

DOWNLOAD

8. Florence Mackenzi-Ipo Faida

DOWNLOAD

9. Elandre – Bonde

DOWNLOAD

10. Pamsam-Kesho Yako

DOWNLOAD

Uongozi na timu kazi ya GospoMedia.com inatoa pongezi kwa wanamuziki na waimbaji wote ambao video zao zimefanikiwa kuingia kwenye chati hii ya kumi bora kwa mwezi wa kumi na mbili 2016, Baraka nyingi pia ziwafikie wadau na watu wote waliowezesha video za waimbaji hawa kuingia kwenye chati hii ya kumi bora… Barikiwa sana.!!

Like Page yetu ya facebook > GOSPOMEDIA.COM instagram> @gospomedia

NAWAPENDA - ZABRON SINGERS

Muziki

VIDEO | NAWAPENDA – ZABRON SINGERS

By October 11, 2021

TRENDING

To Top