Connect with us

Hizi Ndizo Nyimbo Kumi Bora Zilizofanya vizuri Mwezi wa Tano 2017.

Muziki

Hizi Ndizo Nyimbo Kumi Bora Zilizofanya vizuri Mwezi wa Tano 2017.

Kupitia tovuti yako pendwa ya gospomedia.com hizi ni nyimbo kumi Bora zilizofanya vizuri zaidi mwezi wa tano mwaka 2017, nyimbo hizi zimefanikiwa kuingia kwenye chati ya kumi bora ya gospomedia.com kwa vigezo mbalimbali  vya ubora wa nyimbo zenyewe na kupitia watu wote walioweza kuzisikiliza na kuzipakua baada ya kupandishwa kwenye tovuti ya gospomedia.com, pia zimefanikiwa kupata nafasi ya kuingia kwenye mchakato wa Tuzo za GOSPO AWARDS zinazotarajiwa kutolewa na gospomedia mwaka 2018.

1. Boaz Anthony – Wewe Ni Mungu

Download Audio

2. James Frank – Tunamtaka Tabitha

Download Audio

3. Mary Mtoi – Ombi Langu

Download Audio

4. Rungu La Yesu – Take Care

Download Audio

5. Zephania Mawalla – Sifa Zivume

Download Audio

6. Sarah Ndosi – Piga Hatua

Download Audio

7. Machalii Wa Yesu – Faraja Yako

Download Audio

8. Godfrey Mwakisyala – Yesu Sema

Download Audio

9. Novic BCvm Feat Dolaa – Okoka Sasa

Download Audio

10. Samwel Gospel – Fungua Maisha Yangu

Download Audio

Uongozi na timu kazi ya gospomedia.com inatoa pongezi kwa wanamuziki na waimbaji wote ambao nyimbo zao zimefanikiwa kuingia kwenye chati hii ya kumi bora kwa mwezi wa tano 2017, Baraka nyingi pia ziwafikie wadau na watu wote walioweza kusikiliza na kupakua nyimbo za waimbaji hawa na kuziwezesha kuingia kwenye chati hii ya kumi bora. Barikiwa.!!

Like Page yetu ya facebook > GOSPOMEDIA.COM instagram> @gospomedia.

NAWAPENDA - ZABRON SINGERS

Muziki

VIDEO | NAWAPENDA – ZABRON SINGERS

By October 11, 2021

TRENDING

To Top