Connect with us

Hizi Ndizo Nyimbo Kumi Bora Zilizofanya Vizuri Mwezi wa Sita 2017

Muziki

Hizi Ndizo Nyimbo Kumi Bora Zilizofanya Vizuri Mwezi wa Sita 2017

Kupitia tovuti yako pendwa ya gospomedia.com hizi ni nyimbo kumi Bora zilizofanya vizuri zaidi mwezi wa sita mwaka 2017, nyimbo hizi zimefanikiwa kuingia kwenye chati ya kumi bora ya gospomedia.com kwa vigezo mbalimbali  vya ubora wa nyimbo zenyewe na kupitia watu wote walioweza kuzisikiliza na kuzipakua baada ya kupandishwa kwenye tovuti ya gospomedia.com, nyimbo hizi pia zimefanikiwa kupata nafasi ya kuingia kwenye mchakato wa Tuzo za GOSPO AWARDS zinazotarajiwa kutolewa na gospomedia mwaka 2018.

1. Betty J. Feat Tina Marego – Mtakatifu

Download Audio

2. Love Mdendu – Chozi la Mnyonge

Download Audio

3. Rose O. Mollel Chipe – Hakuna Kama Yesu

Download Audio

4. New Jerusalem Feat Neema Busee – Mary Did You Know

Download Audio

5. Chilambo – Namba Moja

Fast Download Audio

6. Wema Bukuku – Nikuabudu

Download Audio

7. Elandre Feat Nelly Music – Hope Alive

Download Audio

8. Peter Akili – Nasikia Raha

Download Audio

9. Martin Mackenzie’s – Umeketi Juu Sana

Download Audio

10. Jimmy Gospian – Jehova

Download Audio

Uongozi na timu kazi ya gospomedia.com inatoa pongezi kwa wanamuziki na waimbaji wote ambao nyimbo zao zimefanikiwa kuingia kwenye chati hii ya kumi bora kwa mwezi wa sita 2017, Baraka nyingi pia ziwafikie wadau na watu wote walioweza kusikiliza na kupakua nyimbo za waimbaji hawa na kuziwezesha kuingia kwenye chati hii ya kumi bora. Barikiwa.!!

Like Page yetu ya facebook > GOSPOMEDIA.COM instagram> @gospomedia.

NAWAPENDA - ZABRON SINGERS

Muziki

VIDEO | NAWAPENDA – ZABRON SINGERS

By October 11, 2021

TRENDING

To Top