Advertisements
Connect with us

Hizi Ndizo Nyimbo Kumi Bora Zilizofanya Vizuri Mwezi wa Saba 2017. Sikiliza Hapa.

Kumi Bora

Hizi Ndizo Nyimbo Kumi Bora Zilizofanya Vizuri Mwezi wa Saba 2017. Sikiliza Hapa.

Kupitia tovuti yako pendwa ya gospomedia.com hizi ni nyimbo kumi Bora zilizofanya vizuri zaidi mwezi wa saba mwaka 2017, nyimbo hizi zimefanikiwa kuingia kwenye chati ya kumi bora ya gospomedia.com kwa vigezo mbalimbali  vya ubora wa nyimbo hizi na kupitia idadi ya watu mbalimbali walioweza kuzisikiliza na kuzipakua baada ya kupandishwa kwenye blog hii, nyimbo hizi zimefanikiwa kupata nafasi ya kuingia kwenye mchakato wa Tuzo za GOSPO AWARDS zinazotarajiwa kutolewa na gospomedia mwaka 2018.

1.Betty Barongo Feat Walter Chilambo – Nijenge

Download Audio

2. Frida Felix – Nimemchagua Yesu

Download Audio

3. Christina Seme – New Day

Download Audio

4. Ester Mulokozi – Uachiapo Baraka

Download Audio

5. Melbourne – He’s Able

Download Audio

6. Sampamba – Thamani

Download Audio

7. Manuel Gwithus – Bwana

Download Audio

8. Josiah Justice – Asingekuja Yesu

Download Audio

9. Lenjima Feat Ptrix – Impossible

Download Audio

10. Evelyn Gospel – Name Of Jesus

Download Audio

Uongozi na timu kazi ya gospomedia inatoa pongezi kwa wanamuziki na waimbaji wote ambao nyimbo zao zimefanikiwa kuingia kwenye chati hii ya kumi bora kwa mwezi wa saba 2017, Baraka nyingi pia ziwafikie wadau na watu wote walioweza kusikiliza na kupakua nyimbo za waimbaji hawa na kuziwezesha kuingia kwenye chati hii ya kumi bora. Barikiwa.!!

Like Page yetu ya facebook > GOSPOMEDIA.COM instagram> @gospomedia.

Advertisements

More in Kumi Bora

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP TRENDING

Shad B - Mbalii

Audio

Audio: Shad-B – Mbalii

By April 24, 2019

SUBSCRIBE

Enter your email address to subscribe to this blog and receive notifications of new posts by email.

Join 12,283 other subscribers

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili kila siku kutoka ndani na nje ya Afrika.

To Top