Connect with us

Hizi Ndizo Nyimbo Kumi Bora Zilizofanya Vizuri Mwezi Januari 2017.

Muziki

Hizi Ndizo Nyimbo Kumi Bora Zilizofanya Vizuri Mwezi Januari 2017.

Kupitia tovuti ya GospoMedia.com hizi ni nyimbo kumi Bora zilizofanya vizuri zaidi mwezi Januari mwaka 2017, nyimbo hizi zimefanikiwa kuingia kwenye chati ya kumi bora ya gospomedia.com kwa kigezo cha ubora wa nyimbo zenyewe na kupitia watu wote walioweza kuzisikiliza na kuzipakua baada ya kupandishwa kwenye tovuti ya gospomedia.com, pia zimefanikiwa kupata nafasi ya kuingia kwenye mchakato wa Tuzo za GOSPO AWARDS zinazotarajiwa kutolewa na gospomedia mwaka 2018.

  1. NellyMusic Feat Dolaa – I ‘am A Christian


Download

2. Angel Magoti-Kivulini Pa Mbawa Zako


Download

3. Alicia Charles-Mimi Ni Wako


Download

4. Kelvin Weber – Nitumie


Download

5. Milca Kakete-Nakung’ang’ania Rmx


Download

6. Williamson Achintole-Liko Tumaini


Download

7. Prosper Munuo-Yaweh


Download

8. Godwin Praize-Amen “Na Iwe Hivyo”


Download

9. Jennifer Mgendi-Nawashukuru Adui


Download

10. Sarah Ndosi Feat Bomby Jonson-Pumzi Yako


Download

Uongozi na timu kazi ya GospoMedia.com inatoa pongezi kwa wanamuziki na waimbaji wote ambao nyimbo zao zimefanikiwa kuingia kwenye chati hii ya kumi bora kwa mwezi Januari 2017, Baraka nyingi pia ziwafikie wadau na watu wote walioweza kusikiliza na kupakua nyimbo za waimbaji hawa na kuziwezesha kuingia kwenye chati hii ya kumi bora. Barikiwa sana.!!

Like Page yetu ya facebook > GOSPOMEDIA.COM instagram> @gospomedia.

NAWAPENDA - ZABRON SINGERS

Muziki

VIDEO | NAWAPENDA – ZABRON SINGERS

By October 11, 2021

TRENDING

To Top