Connect with us

Hizi Ndizo Nyimbo Kumi Bora Zilizofanya Vizuri Mwezi Februari 2017.

Muziki

Hizi Ndizo Nyimbo Kumi Bora Zilizofanya Vizuri Mwezi Februari 2017.

Kupitia tovuti ya GospoMedia.com hizi ni nyimbo kumi Bora zilizofanya vizuri zaidi mwezi Februari mwaka 2017, nyimbo hizi zimefanikiwa kuingia kwenye chati ya kumi bora ya gospomedia.com kwa kigezo cha ubora wa nyimbo zenyewe na kupitia watu wote walioweza kuzisikiliza na kuzipakua baada ya kupandishwa kwenye tovuti ya gospomedia.com, pia zimefanikiwa kupata nafasi ya kuingia kwenye mchakato wa Tuzo za GOSPO AWARDS zinazotarajiwa kutolewa na gospomedia mwaka 2018.

1.Rehema Lupilya-Ni Wewe

DOWNLOAD MP3

2. Rogate Kalengo Feat Evalyne Denis-Ombi Langu

DOWNLOAD

3. Kelvin Bosco – Thamani Yako

DOWNLOAD MP3

4. Josiah Justice – Ni Wewe Uliyetenda

DOWNLOAD

5. Joseph Joel – Hata Hilo Linapita

DOWNLOAD

6. Joel Lwaga-Anipenda

DOWNLOAD

7. Ephraim Ezekiel-Mkono wa Mungu

DOWNLOAD

8.Elvis Kiwanga – I believe

DOWNLOAD

9. Dona Feat SirMbezi-Uthamani

DOWNLOAD

10. Lugano Kapologwe-Nikujue

DOWNLOAD

Uongozi na timu kazi ya gospomedia.com inatoa pongezi kwa wanamuziki na waimbaji wote ambao nyimbo zao zimefanikiwa kuingia kwenye chati hii ya kumi bora kwa mwezi Februari 2017, Baraka nyingi pia ziwafikie wadau na watu wote walioweza kusikiliza na kupakua nyimbo za waimbaji hawa na kuziwezesha kuingia kwenye chati hii ya kumi bora. Barikiwa sana.!!

Like Page yetu ya facebook > GOSPOMEDIA.COM instagram> @gospomedia.

NAWAPENDA - ZABRON SINGERS

Muziki

VIDEO | NAWAPENDA – ZABRON SINGERS

By October 11, 2021

TRENDING

To Top