Connect with us

Audio: Julius Fanta-Hiyo Ndio Saa

Audio

Audio: Julius Fanta-Hiyo Ndio Saa

Kutoka jijini Dar es salaam kwa mara ya kwanza nimtambulisha kwako mwimbaji mpya katika huduma ya muziki wa Injili nchini Tanzania na huyu si mwingine bali ni Julius Fanta ambaye ameachia wimbo wake mzuri uitwao Hiyo Ndio Saa, Muziki huu umetayaarishw na kurekodiwa ndani ya studio za Mo nation & Tyros chini ya mikono ya prodyuza Elias & Mo.

“Kupitia wimbo huu Najaribu kueleza na kuwakumbusha watu juu ya muda ambao Yesu Kristo alisulubiwa msalabani ndio muda pekee ulitupatia uhai wetu na kutuweka huru na mambo mengi sana, Lakin pia nimeimba wimbo huu kuwakumbusha watu juu ya Msalaba kuwa kuna nguvu, Ilimpasa Yesu Kristo asulubiwe ili tuwe huru, Hapo ndipo yalikwisha yote, shida, mateso, mauti, njaa, taabu na matatizo yote.” – alisema Julius Fanta

Mathayo 27:46
Mnamo saa tisa Yesu akalia kwa sauti kubwa, “Eli, Eli, lema sabakthani?” Maana yake, “Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?”

Ni imani yangu kuwa wimbo huu utakugusa na kukubariki kwa namna ya pekee na hii #NDIOSAA

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mwimbaji Julius Fanta kupitia:
Simu/WhatsApp: +254 702 903810
Facebook: Fanta Julius
Instagram: @fantajulius
Youtube: Danny Gift

Like us on facebook >> Gospo Media Follow us on instagram >> @gospomedia

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

To Top