Connect with us

Video: Hillsong Beneath The Waters (I will rise) Cover by Pamsam

Hillsong Beneath The Waters (I will rise) Cover by Pamsam

Muziki

Video: Hillsong Beneath The Waters (I will rise) Cover by Pamsam

Hillsong Beneath The Waters (I will rise) Cover by Pamsam

Kutoka jijini Dar es salaam kwa mara nyingine tena tumekusogezea video mpya ya wimbo uitwao I will rise kutoka kwa mwimbaji Pamsam, Huu ukiwa ni moja ya wimbo uliowahi kuimbwa na kundi la waimbaji wa nyimbo za Injili kutoka nchini marekani maarufu kama Hillsong Worship.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema tukiamini kuwa itakubariki, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na Pamsam kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 673 777 715
Facebook: Pamsam
Instagram: @pamsam_official
Youtube: Pamsam

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

NAWAPENDA - ZABRON SINGERS

Muziki

VIDEO | NAWAPENDA – ZABRON SINGERS

By October 11, 2021

TRENDING

To Top